u-zone1b

Myzoomafrica

Myzoomafrica
Advertise here!

Wednesday, February 12, 2014

NJEMBA ya weweseka Baada ya Kupigwa 'Mzinga'

WADADA MMEZIDI SASA...DU!

Kuna mdada nimeanzisha naye uhusiano kama wiki moja iliyopita. ni mtu mwenye ajira
yake, mshahara analipwa. siku tumekutana kwa first date alikuja na rafiki yake tukanywa na kula aafu tukaagana. mkononi alikuwa na simu ya kama laki 5 hivi. Siku tatu baadaye nikampigia simu hapokei aafu akanitumia msg "simu imetumbukia kwenye maji hi yo siwezi kupokea". Jana kanambia anaomba mimsaidie ili apate mawasiliano, nikamwambia ntanunua ya elfu 50 ili awepo hewani anapotafuta nyingine. Cha ajabu ananambia anataka kama ile ile hivyo nimwongezee laki 2 nyingine ataongeza! Nikacheka kimya kimya huku nikishangilia kusave 50 yangu! Jamani mishahara yetu ina bajeti yake na so kwa ajili deny! na wengine tunataka kuwa na watu wa kudumu nao,mnatutisha na hizo harakati zenu za usakaji was hela! Tipelekane taratibu jamani, looh!

No comments:

Post a Comment

u-zone3