Bila aibu ya aina yoyote binadamu hawa walikutwa barabarani wakifanya mapenzi huku wakiwa wameegesha gari lao pembeni.
Tukio hili chafu lilitokea week end moja wakati binti huyu akitoka club huku akiwa
tungi.Alipotoka nje ya ukumbi huo wa starehe, alionekana kumvamia
dreva tax mmoja ili ampeke nyumbani.....
Mdau aliyeinasa picha hii anadai
kuwa walipoondoka naye aliwasha gari yake tayari kwa safari ya
kurudi kwake.Wakiwa njiani, alishtuka kuona gari hiyo ikipakiwa
pembeni mwa barabara....
Jamaa anadi kuwa alilipita gari
hilo na alipofika mbele alikaa kidogo na kuamua kurudi tena
na ndipo alipowafuma live wakifanya uchafu huo na kuwapiga
picha....
Walipokurupushwa na mwanga wa kamera ya jamaa huyo, wachafuzi hao waliliondoa gari lao kwa kasi na kutokomea
No comments:
Post a Comment