MWANAUME JAMII FORUMS AFUNGUKA
Wakati naanza mapenzi..first wangu alikua mwembamba
sana...kusema ukweli siku
enjoy chochote.Na ikanifanya nione mapenzi si kitu.
Ikafika time nikaja Dar kusalimu ndugu. Ndipo nikakutana na mpenzi Zena...mtoto
wa kinyamwezi...black beauty afu bonge nyanya ivi. Uwiiiii....nakwambia...nilicha nganikiwa sana mpaka nikakataa shule..nikaahirisha mwaka wa masomo. Tokea siku ile...napenda wanawake wanene mwanzo mwisho. Sipendi wembamba...sina feelings kabisa nao
Kama wewe ni bonge...nakupenda sana.
Source: Jamii forums
No comments:
Post a Comment