u-zone1b

Myzoomafrica

Myzoomafrica
Advertise here!

Monday, November 4, 2013

MAIMARTHA Atamani 'WOWOWO' Kubwa

MAIMARTHA ATAMANI 'WOWOWO' KUBWA


Na Richard Bukos
MWIGIZAJI Husna Idd ‘Sajent’ na mtangazaji maarufu Bongo,
Maimartha Jesse wamenaswa wakishindana ukubwa wa makalio yao wakiwa wamelala kitandani.

Tukio hilo lililowashangaza wadau, lilitokea hivi karibuni wakati mastaa hao walipokuwa wanarekodi moja ya vipindi vya washiriki wa Shindano la Vigori katika Hoteli ya Kebbys Mwenge jijini Dar.

“Jamani mimi ninalo (wowowo) kuliko wewe, ukubwa dawa mimi na wewe wapi kwa wapi Sajent?” alisikika Maimartha.

Global Publishers

No comments:

Post a Comment

u-zone3