MKE WANGU ANA TATOO YA JINA LA MWANAUME MWINGINE

Leo nimeudhika sana wadau Asubuhi wakati napata morning Glory kwa Mke wangu nimegundua Kwenye
Titi Sehemu ya chini ana Tatoo imeandikwa "I lov u James" kwa Maandishi Madogo sana kama haupo makini unaweza usiyaone...Nimekaa nae Mwaka mzima Leo ndio nakuja ona Nilivyojaribu kumuuliza anakuwa mkali na kusema ni jina la Ex Wake kabla hajakutana na Mimi....Wadau Hapo Mnanishaurije ? Kila nikiona hiyo Tatoo Am Sure Mood zitakuwa zikiniisha
Source: Mdau Udaku
temana nae ili uweze kulirax, coz presha hizo kaka
ReplyDelete