u-zone1b

Myzoomafrica

Myzoomafrica
Advertise here!

Wednesday, January 22, 2014

Linah Avurugwa na Kigogo

 LINAH  AVURUGWA NA  KIGOGO
Mwanamuziki Linah Sanga Amekana katu katu Skendo kuwa
anatoka na kigogo mmoja wa serekali na kuwa amempachika ujauzito ..

Linah Amesema yeye sio mjamzito na wala hatoki na Kigogo yoyote, hizo ni shutuma tu za uongo mimi nina mchumba wangu kabisa na anatambulika kwetu  yote mnayoyasikia ni mambo ya kuzusha tu mitaani....Mnikomeee

No comments:

Post a Comment

u-zone3