NATONGOZWA KILA KUKICHA KISA "GWEDEGWEDE"

anione nilivyo nikiwa mtupu, tena wanakuja kwa njia za pesa na magari lakini namuheshimu mume wangu. Wanawake wenzangu tujiheshimu hata kama unajijua wewe ni mzuri kama malaika muheshimu mpenzi wako usitumie kigezo cha uzuri wako kumdharau mpenzi wako na kumletea nyodo. Mmenipataaa.
No comments:
Post a Comment