u-zone1b

Myzoomafrica

Myzoomafrica
Advertise here!

Thursday, December 19, 2013

BABY MADAHA Amtusi DIAMOND

BABY MADAHA AMTUSI DIAMOND

Msanii wa Bongo movie ambae pia ni mwanamuziki wa Bongo Flava, Baby Joseph Madaha "Baby Madaha" Amezidi kumrushia Mwanamuziki  Diamond Vijembe na kila aina ya taarabu.


Baby Madaha amesema hana muda wa kupoteza na Diamond kwani Diamond bado ana utoto wa tandale. An asema " ....akiwa bado anastruggle kupata mkwanja awatishie watoto wenzake wa Tandale......mimi sio Size yake" Aliongeza Baby Madaha

No comments:

Post a Comment

u-zone3