
Huddah Monroe"Thee Boss Lady" amezidi kurusha vijembe na kejeri kwa mrembo wa Tanzania Jackie Cliff ambaye alikamatwa na dawa za kulevya aina ya Heroin nchini china hivi karibuni.
Huddah ameandika katika mtandao wa Twitter, tweet yake inadai kuwa Jackie Cliff ni mrembo ambaye alitaka kuishi maisha mazuri ya haraka na kutumia vitu vya kifahari, pia akaambatanisha na picha mbili zinazomuonesha Jackie akiwa amepozi kabla ya kukamatwa na nyingine akiwa na pingu, picha iliyotolewa na gazeti la nchini China.
Katika tweet nyingine Huddah ambaye hupenda kuonesha maisha ya kifahari anayoishi, amefunguka zaidi na kuonesha kuwa yeye asingeweza kufikia kiwango hicho cha Jackie.
“So this beautiful Tanzanian girl was caught with a KG of Cocaine. That’s now a BAD ASS B**CH! I’m such a coward…I swear I’m not BAD!” Alitweet Huddah

Follow
Beautiful girl...Wanting to live the "Fast Life" "The good life" Gucci ,Prada,Roberto Cavalli,Alexander Wang!
8:50 PM - 28 Dec 2013
No comments:
Post a Comment