HOUSE GIRL AMTEGA MUME WA MTU
Huyu ni mfanya kazi wa ndani 'House Girl' katika nyumba flani hivi. Imagine
kama wewe ndio mama mwenye nyumba - Je ungemuacha huyu House Girl aendelee kukimbiza na kujitawala hivyo mbele ya mume wako? Na Kama wewe ndio mwanaume katika hiyo nyumba ; Je ungemuacha huyu binti?
No comments:
Post a Comment