Mwimbaji kutoka THT Amini ameelezea pengo liloachwa moyoni mwake na aliyekuwa
mpenzi wake ‘Linah’, pengo ambalo kwa mujibu wake aliyechukua nafasi hiyo ameshindwa kuliziba.
Mwimbaji huyo ameyatoa yake ya moyoni
kupitia mtandao wa Instagram na kuonesha kuwa bado anamhitaji Linah kwa kuwa ndiye
mtu aliyekuwa anampa furaha mda wote na kwamba hakuwahi kumkosea.
Amepost picha inayomuonesha akiwa na Linah, na kuandika,
'Wakati kama huu ukifka uwa namuwaza
sana uyu wa pembeni kiukweli ni mtu ambae aliweza kunipa furaha akuwahi
nikosea alifnya ninachokitka ila nilipo sasa mmmmmh boko miss uuuuu
linah kwani nini si nini tu.'
No comments:
Post a Comment