MNENGUAJI AMDHALILISHA BOB JUNIOUR
AKUTWA AKIFANYA MAMABO YA WAKUBWA HADHARANI...!
tazama picha hapa
DANCER wa Bob Juniour anaetambulika
kwa jina maarufu
Nurdin A.k.a dogo T, Akutwa live akijiandaa kufanya mambo ya wakubwa na dada huyo pichani jina lake limehifadhiwa...!!! Dogo alishangaa ghafla mwanga wa Camera kitu ambacho hakukitegemea na hapo ndipo zoezi lao lilipoishia, Tukio hili lilitokea hivi karibuni katika
Glossary flani jijini Dar Es Salaam. Kitendo hicho kimemsababishia adhabu kali ya kutoshiriki baadhi ya show zitakazofanywa na kundi hilo lililochukua ushindi katika mpambano wa Dance mia mia mwaka huu na kusaini mkataba kwa Mr Chocolate (Bob Juniour) Rais wa Masharobaro

No comments:
Post a Comment