Picha
ya Diamond na Wema Sepetu wakijivinjari kimahaba
Baada ya Diamond na Wema kutangaza kuachana kwa kipindi fulani, taarifa zinasemaa wapenzi hawa bado 'wanamegana' kwa kuibia. taaarifa zinasema wanafanya hivyo ili wapenzi wao wapya wasijue. Kama wazungu wanavyosema 'What goes around,comes around.'
No comments:
Post a Comment