KUMBE LADY GAGA ALIKUA 'BEKI TATU' WA BRITNEY!?
Kumbe Lady Gaga kabla ya kuwa maarufu(star) na
kushika charts alikua akimuandikia nyimbo Britney Spears na wasanii wengine?..Ndipo
baadae
nae akaja na album yake maarufu na yenye mafanikio makubwa The Fame. Akiwa na miaka 19, Lady Gaga
aliamua Kuacha Chuo(New York University) na kujikita kwenye mziki full time. Kweli mafanikio ni safari na sio tukio la siku
moja. Success is not an overnight event.
Lady
Gaga:
Jina: Lady Gaga
Tarehe ya kuzaliwa: March 28, 1986
Mahali alipozaliwa : Yonkers, N.Y.
No comments:
Post a Comment