u-zone1b

Myzoomafrica

Myzoomafrica
Advertise here!

Sunday, October 27, 2013

Ray C Atafuta Mpenzi Mtandaoni


RAY C ATAFUTA MPENZI MTANDAONI

STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila "RAY C"  amebainisha kupitia mtandao wa
Instragram kuwa anahitaji kuwa na boyfriend mwenye asili ya Kihindi kwa sababu wana mapenzi ya ukweli baada ya kuangalia filamu zao.

RAY C alipost clip ya filamu hiyo na kuandika…Daaaamn!!!!i want an indian boyfriend right nowwww!!!So romantic!!!ths movie is crazy......on my own in my Bollywood Room…

No comments:

Post a Comment

u-zone3