JOKATE AMPONZA LULU

ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amejikuta akiambulia maneno makali kutoka kwa
mashabiki baada ya kuposti picha ya Jokate na kumsifia katika mtandao wa Instagram.
Lulu aliiposti picha hiyo kwa nia njema kabisa ambapo kuonesha kuwa anamkubali Kidoti, alimwagia sifa moja kwa moja kuwa ana uzuri wa ziada ndipo wafuasi wa mtandao huo walipoanza kuporomosha matusi ya nguoni ambayo mengine hatuwezi kuyataja hadharani.
“Anampiga vijembe Wema huyu, mtoto mswazi sana huyu…mnafiki huyu mimi nishamjua hanipi shida siku hizi,”hayo ni badhi ya maneno yalisemwa na wachangiaji ambao inasadikika ni wafuasi wa Wema.
No comments:
Post a Comment