u-zone1b

Myzoomafrica

Myzoomafrica
Advertise here!

Wednesday, October 30, 2013

Mkenya Ampa Limbwata Bob Junior

MKENYA AMPA LIMBWATA BOB JUNIOR

Bob Junior na Ashley Toto Wakila Raha Ujerumani Frankfurt
 Ashley Toto Ni Msanii wa movies kutoka Kenya ambae
makazi yake ni Ujerumani ila kwa sasa yupo Mombasi kwa mapumziko ..Mtoa habari ametuhabarisha kuwa wawili hawa wapo mapenzini kwa muda mrefu sana hata alipokuwa Ujerumani Bob Junior huwa anaenda huko kama baadhi ya picha zinavyoosha ..Pia inasemekana kuwa baada ya Mwana Dada huyu kuja Mombasa kwa mapumziko Bob Junior alienda Matembezi huko na Kukaa kwa muda wa week moja akiwa nae na baadae Mwana dada huyo Mrembo alimtafutia Show mbili Huko Mombasa ...Inasemekana ndio Sababu mojawapo ya mke wake kuona wivu wa mapenzi na kuamua kuachana na Bob junior..

-Mdau

No comments:

Post a Comment

u-zone3