
umri wa kutafuta mchumba wa kuoa ila hawa mabinti sijui wakoje kila ninaye mtongoza haipiti siku ananiomba HELA kwa visingizio mbali mbali na mimi demu akishaniomba hela design hii hapo hapo naona sio namuona kimeo ndio wale wale ....Kwani Mapenzi siku hizi lazima usambaze Hela kwanza ndio upendwe ama? Naomba ushauri plz!
mie ushauri wangu jitahidi kutafuta mapenzi kwanza kabla ya kutaka kujionesha unazo. wewe ndo umejiweka ATM so kila mtu atachota money. na pili nadhani wewe unataka kufanya ngono tu sio muoaji ndo maana unalalamikia pesa unayotoa kwa maana kama ukipenda kwa dhati utakuwa tayari kufilisika ili hisia zako zikamilike na hili hata kama hujatia kitu hautalalamika, elekeza hisia kwanza kwa uliyempenda kwa dhati na atakapo zipokea hisia zako usijali kupoteza hela au vitu kwa malengo.
ReplyDeletena mwisho jua kwamba wako wanawake ambao ni ATM kwa wanaume wapenzi wao kisa tu amekunwa nahisia za mwanaume na hataki kupoteza nafasi hiyo anagharamia hata kama mwanaume anazo ila anajaribu kujionesha amepokea penzi lake kwa garama kubwa so amelithamini. mi naona ni kawaida kabisa kupoteza hela na hiyo sio ATM na ukiwa ATM ni upuuzi wako hujui kupenda unajionesha una pesa na unapata mapenzi ya kichina yaani disposable